Nimependa sana picha hii...ni kama ule wimbo wa Lady jaydee ..natamani kuwa malaika ..natamani tena kuwa mtoto..Miaka hii unaweza kuwapiga watoto wako picha na kuwa kumbukumbu kubwa sana ...Natamani huyu mtoto angekuwa mimi kwani sina picha ya umri huu...Picha hii ni kwa hisani ya dada Nancy Sumari nimeipata
HAPA. MUWE NA SIKU NJEMA