Showing posts with label Sikukuu ya wafanyakazi mei mosi. Show all posts
Showing posts with label Sikukuu ya wafanyakazi mei mosi. Show all posts

Friday, May 1, 2015

NA TUUKARIBISHE MWEZI HUU WA TANO NA SIKUKUU HII YA WAFANYAKAZI KWA KUANZA NA MLO HUU AUPENDAO KAPULYA

Leo ni mwezi mpya wa tano na sio hivyo pia ni sikukuu ya WAFANYAKAZI (MEI MOSI) Kwa hiyo napenda kuwatakieni wafanyakazi wote siku njema sana kwa siku hii. Binafsi sina mapumziko  mzigoni kama kawaida:-) TUPO PAMOJA NDUGU ZANGU NA NAWAPENDENI WOTE.