Wednesday, June 9, 2021

LEO MWENZENINIMEKUMBUKA NYASA KWETU NA KITU HII LIKUNGU..NI MBOGA TAMU SANA

KATI YA VYAKULA NIVIPENDAVYO MOJAWAPO NI LIKUNGU HASA LIKIWA MADAFU