Haya wapendwa, leo ngoja tutembelee kanisa hili, ni kanisa la MATOGORO SONGEA..nimesali sana kanisa hili...MWENYEZI MUNGU NA AWABARIKI WOTE na tuzidi kudumisha upendo.
Jamani nilisali hapo miaka mingi sana enzi hizo baba yangu alikuwa mwl.Songea boys. napenda sana hii blog coz inanikubusha those days nilipokuwa mtoto.
Iwe njema kwako na familia pia....dada yangu kipenzi!!
ReplyDeleteAhsante kachiki na naamini nawe upo salama na familia pia..
ReplyDeleteNa kwako pia mdada.
ReplyDeleteHongera na Mungu azidi kutubariki. Mafanikio yetu yanachangiwa sana na nguvu za sala. Tusilegee katika hili dadangu.
ReplyDeleteJamani nilisali hapo miaka mingi sana enzi hizo baba yangu alikuwa mwl.Songea boys. napenda sana hii blog coz inanikubusha those days nilipokuwa mtoto.
ReplyDelete