Monday, October 15, 2012

NIMEONA TUANZE WIKI/JUMATATU HII KIHIVI!! SIKU NYINGINE NDANI YA AFRIKA!!


MWANZO MWEMA WA WIKI JAMANI/JUMATATU NJEMA

5 comments:

  1. Kaka Ray! Ahsante na naamini nwe jumatatu hii umeianza vema na imekuwa njema:-)

    ReplyDelete
  2. UNAPOTAJA JINA KILIMANJARO KWA HAKIKA UNATAJA TANZANIA KUTOKANA NA UMAARUFU WA MLIMA KILIMANJARO AMBAO NI MAARUFU KULIKO YOTE AFRIKA.NGOMA KUBWA YA ASILI YA WACHAGGA NI IRINGI.IRINGI HUCHEZWA KATIKA MDUARA HUKU WATU WAKIWA WAMESHIKANA MIKONO IKIWA NI ALAMA YA UPENDO NA MSHIKAMANO WA KIFAMILIA.UPO UTANI KUWA ZAMANI NGOMA HIYO ILICHEZWA BILA KUSHIKAMANA MIKONO LAKINI BAADAE WATU WALIJIKUTA MIFUKO YAO MITUPU.WAZEE WA KIMILA WAKAAMUA KUONDOA UTATA KWA KUWEKA AMRI YA KUSHIKANA MIKONO WA KUCHEZA NGOMA HIYO.WACHAGGA WANAISHI KWENYE WILAYA NNE ZA MKOA WA KILIMANJARO AMBAZO NI SIHA;HAI;MOSHI NA ROMBO KWA MPANGILIO UFUATAO:

    -----------------------------------

    1.WASIHA

    2.WAMACHAME [ WILAYA YA SIHA NA HAI]

    3.WAMASAMA

    -----------------------------------

    4.WAKINDI

    5.WAKIBOSHO

    6.WAURU

    7.WAOLDMOSHI

    8.WAMBOKOMU [ WILAYA YA MOSHI ]

    9.WAKIRUA

    10.WAKILEMA

    11.WAMARANGU

    12.WAMAMBA

    13.WAMWIKA

    -----------------------------------

    14.WAKENI

    15.WAMKUU

    16.WAMASHATI [ WILAYA YA ROMBO ]

    17.WASSERI

    18.WANGASA

    -----------------------------------

    ReplyDelete
  3. J3 NA J4 njema tupo pamoja ndugu wangu

    ReplyDelete
  4. J3 imepita na J4 ipo pamoja nasi.Tuendelee kuwa pamoja kwa fadhili zenye upendo na rehema.

    ReplyDelete