Hapo juu nimesema maji ya mtungi ni matamu kwa kunywa kwa kutumia KATA. Kwa wale wasiojua kata ni nini . Katika picha hii hapa mnamwona Stella Manyanya akijaribu kunywa maji kwa kutumia KATA. Hivi ndivyo ilivyokuwa hapo zamani ni utamaduni wetu.
Thursday, January 12, 2012
MAJI YA KWENYE MTUNGI NI MATAMU JAMANI!
Hapo juu nimesema maji ya mtungi ni matamu kwa kunywa kwa kutumia KATA. Kwa wale wasiojua kata ni nini . Katika picha hii hapa mnamwona Stella Manyanya akijaribu kunywa maji kwa kutumia KATA. Hivi ndivyo ilivyokuwa hapo zamani ni utamaduni wetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
stela manyanya anakunywa "kitu ingine" sio maji. au?
Duhh da'Yasinta tena uwayananukia udongo hayo maji,duuhh tena kimbe hicho kwa familia nzima mnapokezana hehehhhe Siri ya Mtungi aijua KATA....Ubarikiwe da'Yasinta na woooteeee!!
Post a Comment