Thursday, April 14, 2022

TANZIA:_ NIMEFIWA NA MAMA YANGU MDOGO HUKO MBEYA LEO MCHANA

Mama tulikupendda sana ila Baba wa Mbinguni kakupenda zaidi. Pumzika kwa amani mama yangu

3 comments:

John Mwaipopo said...

Pole sana dada Yasinta kwa kuondokewa na mama mdogo

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana kaka John. Za kupotea maana ni siku nyingi sana.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Pole sana. Roho ya mama yetu ilazwe mahali pema peponi.