Thursday, April 14, 2022

TANZIA:_ NIMEFIWA NA MAMA YANGU MDOGO HUKO MBEYA LEO MCHANA

Mama tulikupendda sana ila Baba wa Mbinguni kakupenda zaidi. Pumzika kwa amani mama yangu

3 comments:

  1. Pole sana dada Yasinta kwa kuondokewa na mama mdogo

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana kaka John. Za kupotea maana ni siku nyingi sana.

    ReplyDelete
  3. Pole sana. Roho ya mama yetu ilazwe mahali pema peponi.

    ReplyDelete