Nimetumiwa ujumbe huu lakini kwa bahati mbaya hivi vitandawili kwangu vimekuwa vigumu kidogo kwa hiyo naomba ndugu zangu tusaidiane maana palipona wengi hapaharibiki kitu..Natunguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Na ujumbe wenyewe unasema hivi:- karibuni!!
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dada Yasinta, habari za leo? Samahani naomba msaada wako kwa vitendawili vifuatavyo:
1) Wanastarehe darini.
2) Sina dada wala kaka, lakini baba wa huyu jamaa ni mtoto wa baba yangu.
3) Nguo ivaliwayo kila siku isiyoingiwa na chawa.
4) Ini la ng'ombe huliwa hata na walio mbali.
5) Chatembea na hakijapata kupumzika hata nukta moja.
6) Mvua kidogo ng'ombe kaoga kichwa.
7) Njoo hapa nije hapo.
8) Msitu ambao haulii hondohondo.
9) Aliwa, yuala, ala, aliwa.
10) Ajenga ingawa hana mikono.
JUMATATU IWE NJEMA KWA WOTE!
379 comments:
«Oldest ‹Older 201 – 379 of 379Kobe
Nisadie vitendawili vya Haya majibu
Majibu hayo ni Giza, jembe, saa, gunia, kuraani, na anga
Nacheza ngoma kwa nguvu wapigaji wake wapo ughaibuni
Maziwa na tui la nazi
Napanda mti na kichaa wangu
Kisima kidogo hakikauki
Nnaomba jibu la kaka anajicho moja
Naomba jibu kaka yangu ana jicho moja
Samahani naomba msahada wa kitendawili hiki. Watoto wa tajili lakini wanalala na kuamka uchi
Nna mwanangu nikimtia maji hufa ,jibu lake nini
Naomba msaada wa nahau hesabu yake haina faida
naomba jibu la kitendawili hiki,senkonyongwe anatembea wima
naomba maana ya kitendawili huki.chibuluma maji yameingilia wapi?
naomba kufahamu maana ya kitendawili hiki,mbona wanifanya bwege?
Kitendawili,, pikipki ya Babu imefichwa nyikani,, jibublake Nini??
Nisaidie kitendawili chenye jibu kisahani na kikombe
Zulia la mungu
Msaada wa methali Fu funua Fu funika
Nakukubali sana aisee unatusaidia. ...
Nisaisie:hana miguu lakin huenda mbio sana
Kobe
Naomba jibu la kitendawili,mwavuli wa porini ni
Samahani jibu la kitendawili " FUMULE HUFUMA HUKU NA HUKU " jibu ni nini?
kila nikimuona anajificha naomba jibu lake
Kwel kabisa tunaomba kitendawili cha neno boga
Naombeni niulize nini jibu la kitendawili kisemacho kiti mwituni
Kitendawili chenye jibu mungu
Taski mbugani kobe
Naomba msaada wa kitendawili hiki
Nina KITANDA changu cha samadari atakayekilalia ndiye hodari
Naombeni jibu la kitendawil kinachosema, mfalme hafi kifudifudi
Kiti nyikani jibu ni uyoga
Naomba maana ya kitendawili Wana wa mfalme hufa kwa ugonjwa wa kichwa
Habari naomba msaada wa kitendawili hiki wakutanapo marafiki waachana Napo maadui.
Dafu
Zulia la mungu
_________________mbele kiza
Akienda juu harudii
Nisaidieni aendapoo juu LAZIMA arudi
Naomba nisaidieni kitendawili, Kwa mfalme hawa wanatoka hawa wanaingia
Moto
Alizeti
Jongoo
Jongoo
Yai
Naomna msaada wa vitendawili cha taksi mbugani na wamanga wanapigana mapanga
naomba majibu
1.kwa mfalme hawa wanatoka hawa wanaingia........!
2.wanangu hawapandi mlima bali ushuka..........!
3.saa yangu haijawai simama tangu itiwe ufunguo............
Mgomba
Naomba kitendawili ambacho jibu lake ni kitambi
Bonge bonge akitembea anapiga mateke
1 mzinga wa nyuki
Bibi harusi kainama
Jibu lake ushajua?
Waza
Naombeni kitendawili chenye jibu miguu
Naomba jibu la kitendawili kifa kifanana
Naomba jibu la kitendawili " aDamu yangu hunyonywa na kuuzwa lakini nipo imara
Naombeni msaada wa hiki kitendawili "watoto wa mjomba hulala na kutembea uchi "
Msaada jamani, "watoto wa mjomba hulala na kutembea uchi "
Watoto wa tajiri wanalaa bila nguo
Mbaazi ni jibu la kitendawili kipi
Nakushika lakini sikuoni
Nanyang anapepeta mbugani
Naomva jibu: NYANYA ANAPEPETA MBUGANI
Habar, tafadhar naomba jibu lenye jibu mbarika
Nisaidie kupata jibu.....
Ndege wengi baharini ________
𝑯𝒂𝒃𝒂𝒓𝒊 𝒛𝒆𝒏𝒖.
Mgomba
Njia au mfupa
Naomba jibu la kitendawili hiki
Napanda mti na kichaa wangu
Zipu
Zipu
Babu kafa kaniachia Pete
Mfupa
Machia yangu yaelea nchi kavu naomba mnisaidie jibu
Nini maana ya kitendawili bibi harusi kainama
Naomba jibu la kitendawili.
1.bibi nieleke
2.mzee kipara kaingia uwanjani
Nyumba yangu imeungua mwamba wake umebaki.
Naomba jibu..
Nyumba yangu imeungua, mwamba wake umebaki. Jibu la kitendawili hiki ni:
A.nazi
B. Jiwe
C. Mlima
D. Njia
E. Mfupa
Nisaidie jibu :wazee wawili wanashuka mlimani
Nisaidieni:anamfundisha mzungu kutengeneza mwamvuli
Alizeti
Masaada wa Vitendawili hivi
1:Nasuka mkeka lakini nalala chini
2: Kila aendapo huweka alama
Naomba jibu la kitendawili hiki nina wanangu watatu mmoja mvivu mwingine mtembezi na mwingine mkali
Nisaidie jibu, maana ya mgeni nyuma
Habar naomba kitendawili chenye jibu la kikombe na kingine mwangi
Nisaidie kitendawil jibu lake ni mbarika
Vipi kuhusu si nyama si mfupa?
Naomba usaidizi kwa kitendawili hiki; ni changu lakini sikitumii
Naomba mnisaidie jibu la kitendawili hiki fumole hufuma huku na huko
Msaada WA jibu la kitendawili
Wamanga wanapigana Kwa panga
Fumole hufuma huku na huko jibu Ni
Naomba jibu la kitendawili hiki Ashinda akicheka
Na hii Aziza azizi ndizi bila duara
Mama achoki kunibeba
Samahani kifa kifanana jibu lake ni nini?
Naomba jibu la kitendawili hik . Hanaadabu wala staha kwa watu
Naomba msaada kitendawili hiki kila nikimuona nanyong'onyea
Nafungua na kufunga
Naomba msaada wa kitendawili chenye majibu (kobe)
Nikikutana na adui yangu nanyong'ea
Nisaidie kitendawili hiki nimelala ila nachungulia..........[. ]
Naomba jibu la hiki kitendawili, bomu la machozi baridi
Naomba kitendawili ambavyo majibu yake,1 mate,2nywele,3jogoo
Chawa
Hapo Aziza Azizi mara nazi mara ndizi
Zuria la Mungu?
Nisaidieni jibu la kitendawili hiki watoto wa binadamu
Je fumole huvuma Huku na huko
nisaidieni
1.Askari wangu akiniona hutikisa au kuficha mkia.
2.Wanangu watano wote wana kofia sawa.
3.Anajiingiza jela mwenyewe.
Naomba msaada kitendawili Babu haba staha Wala adab
Taksi mbugani
Jamn naomb kitandawil cheny jib la kobe
Fumole hufuma huku na huko jibu la kitendawili hko?
Anajihami wala hana silaha jawabu lake
Kitendawili wanangu wawili daima wapo pamoja
Akifa anajizomea kitendawili chake msaanda jamn
Naombeni jibu la kitendawili :takataka zilizotupwa mjini huchafua moyo
hellow mumy naomba msaada wa kitendawili Hilo kigoda msituni
Nisaidie maana ya kitendawili, kanzu ya babu inamatobo.
Jamani kitendawili cha Bibi harusi kainama
Jibu lake ni nini
Siafu/nyuki
Wandugu kitendawili chenye jibu moshi
Jmn jobu la hichi kitendawili??
Naomba jibu la kitendawili bahari
naomba jibu napiga gitaa lakin wimbo siujui
Mwana
wa halali aende akalale
Was
Jamani naomba msaada wa kitendawili napanda mti na kichaa wangu
Naomba kuuliza kitendawili.Nyanya anapepeta mpunga
Sijapata majibu ya kitendawili hiki. Mtoto wangu ana mguu mmoja lakini kila mtu anamwabudu
Naombeni Majibu ya vitendawili hivi
1.fumule hufumua huku na huku
2.napanda mti na kichaa wangu
Naomba mnisaidie kitendawili hiki.
Mtoto wangu anamguu mmoja kila mtu humwabudu.
Nisaidieni jibu la kitendawili kisemacho gari mosho relini?
Zuria la mungu
Naomba msaada wa kitendawili kisemacho dada yangu anatako moja
Uonekane mara Moja kwa siku na mara mbili kwa dakika jibu lake ni Nini??
Nikiktana na adui yang nanyongo'nyea
Treni
Nisaidieni hichi wakuu.... Anachinjwa kila siku lakini hafi? Jibu...?
Naomba jibu fumole hufuma huku na huko
Asanteni kwa comments zenu, naomba kitendawili ambacho jibu lake ni "kitambi"
Naomba jibu la kitendawili hiki "Kwa mfalme Hawa wanaingia Hawa wanatoka"
Apitapo Huacha alama
Mtoto wangu ana mguu mmoja kila mtu ana mwabudu. Msaada hapo please
Tafadhali naomba majibu ya vitendawili vifuatavyo chumba changu kikubwa lakini nalala peke yangu,ukimkata shingo leo kesho anayo nyingine mama hana miguu lakini mtoto anayo
Chungu cha mtu hakiwapiki wapishi wake wakaiva
Nacheza ngoma wapigaji wake wapo ughaibun
Jamani nisaidieni kitendawili kisemacho garimoshi relini
Habarini naomba kujua majibu ya vitendawili hivi1 fumole hufuma huku na huko 2kabla hajanitazama nimeshampiga 3kifa kifanana
Naomba jibu la kitendawili hik
Gari Moshi relini
Naomba jibu la natembea n paa mgongoni
Naomba msaada..kitendawiki Mtoto wangu ana mguu mmoja kaka mtu anamwabudu
Nyanya apepeta mpunga
Naomba jibu la kitendawili mfalme hafi kifudifudi
Koroani tukifu
Samahn kitendawili ambacho jibu lake ni mbaazi
Bibi harusi kainama naomba msaada kwa hii
Nisaidie jibu la bibi harusi kainama
Teketeke huzaa gumugumu na gumugumu huzaa teketeke
Nisaidie jibu napanda juu ya mti na kichaa wangu
Naombeni msaada wa vitendawil hivi
1.viti vyote nimekalia isipimiwa hicho
2.wana wa mfalme n wepesi sana kujificha
3. Shamba langu ni kubwa lakini mazao ni kidogo sana
4.zulia la mungu
5. Watoto wa tajiri wa nguo hulala na kutembea uchi
Mandazi
Naombeni jibu la kitendawil bibi harusi kainama
Naomba jibu kitendawi Kigoda cha msituni
Watoto Wana mikia wakubwa Wana mikia midogo
Nisaidie hiki:_Mfalme hafi kifudifudi (kitendawili)
Bibi kafa kaniachia Pete Nini maana take jamani
Nisaidie kitendawili kinachosema hesabu yake Haina faida
Nisaidie kitendawili hiki hesabu yake Haina faida
Naomba mnisaidie kumalizia hiki kitendawili na jibu lake
Nimeotesha mti wangu Ila ...
naomba jibu la kitendawili, nakunywa maji huku namshukuru Mungu
Msaada jaman maana ya kitendawili 'kugoda Cha msituni'
Kitendawili wamanga wanaoigana kwa panga
Chungu cha mwitu hakiwapiki wapishi wake wakaiva
Jibu la hapa please
Naomba vitandawili vyenye maana ya
1) Mwaka
2)Mvua
3)Taa na utambi
4)Muhindi
Wanangu wanapigana jibu ni nini
Naomba jibu Gari moshi lelini? Babu kaanguka na makoti yake? Kindo kindole? Hana haki tena duniani? Mbili mbili paka tanga?
Post a Comment