Nimetumiwa ujumbe huu lakini kwa bahati mbaya hivi vitandawili kwangu vimekuwa vigumu kidogo kwa hiyo naomba ndugu zangu tusaidiane maana palipona wengi hapaharibiki kitu..Natunguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Na ujumbe wenyewe unasema hivi:- karibuni!!
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dada Yasinta, habari za leo? Samahani naomba msaada wako kwa vitendawili vifuatavyo:
1) Wanastarehe darini.
2) Sina dada wala kaka, lakini baba wa huyu jamaa ni mtoto wa baba yangu.
3) Nguo ivaliwayo kila siku isiyoingiwa na chawa.
4) Ini la ng'ombe huliwa hata na walio mbali.
5) Chatembea na hakijapata kupumzika hata nukta moja.
6) Mvua kidogo ng'ombe kaoga kichwa.
7) Njoo hapa nije hapo.
8) Msitu ambao haulii hondohondo.
9) Aliwa, yuala, ala, aliwa.
10) Ajenga ingawa hana mikono.
JUMATATU IWE NJEMA KWA WOTE!
Da Yasinta. Shikamoo!
ReplyDeleteHaya hapa majibu.
1. Panya
2. Mtoto wangu
3. Nyusi
4. Kifo
5. Jua
6. Jiwe
7. Kiraka
8. Mimba
9. Papa
10. Ndege
By Salumu.
Mr nitegee kitendawiki chenye jibu hili (kitambi)
DeleteAlafu nitegulie hiki
Ni adui yangu lakini natembea nae kila siku.
taksi mbugani nini jibu la kitendawili hiki?
DeleteKobe
DeleteNaombeni jibu ya Nina kitanda changu Cha mkangashale means halali aende akalale
DeleteMwana
DeleteSamahani ninaomba kuuliza majibu ya vitendawili vifuatavyo:
Delete1) Mnadhani naenda kumbe siendi
2) Hutembelea lakini hatembelewi
3) Napanda mti na kichaa wangu
Naomba niulize swali
DeleteWatoto wa mjomba wakiondoka hawarudi
DeleteJani
DeleteDada Yasinta naomba unitegulie Kitendawili kifiatacho:
Delete1. Piki piki msituni?
Habari za asubuhi
DeleteNaomba msaada wa kitendawili hiki'' daima damu yangu hunyonywa na kuuzwa lakini bado nipo imara''
Asanteni.
Zao la mpira
DeleteKitendawili:Anachonjwa kwa kisu likini hafi_
DeleteNaomben jibu gali moshi lelin
DeleteZipu
DeleteKaka Salumu ahsante sana kwa mchango wako..Hapi kwenye namba tano mimi nilikuwa na jibu ...Saa
ReplyDeleteJibu siyo saa Wala jua,jibu moyo
DeleteJibu la ,Jana nilitaka kupigwa , nikamwaga tango nikakwmbia
DeleteSasa da Yasinta usemapo saa, ni saa ipi? Ya kujaza na ufunguo au ya betri na hizo zote zinaweza kuharibika. Ki sayansi hata jua halitembei! Labda tuseme ardhi (dunia) ndio inazunguka jua na mwezi inazunguka dunia. Maajabu ya Mwenyezi Mungu haya! By Salumu.
ReplyDeletePamoja na kuwa kipanga shuleni sikuyajua haya madude. Hivyo msaada wangu hapa ni kidogo au tuseme hakuna. Hata hivyo nashukuru nimepata mawili matatu na kuelimika.
ReplyDeleteNakushukuru kwa kutuelimisha dada. Naomba msaada wa vitendawili hivi. ..1)Kiti nyikani,2) Kazi ni pantosha, 3) Kwetu tunalala tumesimama,4) Mama yupo chini ya wanawe wananing'iniquity darini, 5) Msichana wangu mrembo lakini havutiki,6)Ninakupa lakini mbona huachi kunidai, 7) Nakunywa mchuzi na nyama natupa nyama , 8) Ndege wengi baharini, 9) Teremka mlina kwa urahisi, 10) Tamu ya chumvi
ReplyDelete7. Kula mua
DeleteBibi harusi kain am a?
DeleteNatamani kupata jibu LA hiki kitendawili jamani
DeleteMsaada gari moshi relini
DeleteGanda la mua haliishi utamu
Chungu cha mwitu hakiwapiki wapishi wake kika iva
DeleteChungu Cha mwitu hakiwapiki wapishi wake wakaiva jibu ni mzinga wa nyuki.
DeleteNaombeni mnisaidie kitendawili kisemacho maji yakimwagika hayazoleki/hayanyweki
DeleteNakushukuru kwa kutuelimisha dada. Naomba msaada wa vitendawili hivi. ..1)Kiti nyikani,2) Kazi ni pantosha, 3) Kwetu tunalala tumesimama,4) Mama yupo chini ya wanawe wananing'iniquity darini, 5) Msichana wangu mrembo lakini havutiki,6)Ninakupa lakini mbona huachi kunidai, 7) Nakunywa mchuzi na nyama natupa nyama , 8) Ndege wengi baharini, 9) Teremka mlina kwa urahisi, 10) Tamu ya chumvi
ReplyDeleteYaan vitendawili ni vigumu sana,,kuna swali hapa kwamba kutokana na mabadiko ya sayansi na teknolojia vitendawili havina maana jadili kwa kutumia vitendawili sita.
ReplyDeleteHapo unaweza ukakataa au ukakubali. Ukikataa ndo unakuwa na uwezo mkubwa wa kujieleza kwa kutumia dhima au umuhimu wa vitendawili kwa Sasa huku ukiambatanisha mifano
DeleteKiatu kisichoisha. .......?
ReplyDeleteNyayo
DeleteTafadhali niambie jibu LA kitendawili hiki/- juma kalala na ndevu kaziacha nje
ReplyDelete2. Ngozi ya babu chui inapedwa sana
1. Mhindi
DeleteMimi pia naomba unisaidie na jibu la kitendawili iki agnes maridadi.
ReplyDeleteKipepeo
Deleteningependa msaada katika kujibu kitendawili kifuatacho.
ReplyDeletewanatembelea lakini hawatembelewi
Macho
DeleteTafadhali unisaidie kitendawili hiki, watoto wa binadamu wa.......
ReplyDeleteNaomba majibu ya vitendawili hivi;
ReplyDelete1.Hana adabu wala stash
2.Hausimiki hausimami
3.Ajenga ingawa hana mikono
4.Kila nikitembea nasikia wifi wifi
5.Fuu funua fuu funika
1.utelezi
Delete2.mkufu
3.ndege
4.mbaazi kavu
5.nyayo
5. Kutembea
Delete5. Kutembea
DeleteMsaada wa maana ya vitendawili.
ReplyDelete1.Ukumbuu wa babu ni mrefu
2.Nichangu lakini sikitumii
Bara bara
DeleteJina
Naomba majibu ya vitendawili
DeleteKombe la mungu li wazi
Zulia la Mungu
Watoto wa binadamu wakiondoka hawarudiý
Kisima
DeleteArdhi
Jani la mti
Kitendawili-kila akija kwetu hutanguliza na kelele
ReplyDeleteNaomba mnipe jibu la kitendawili hiki
ReplyDeleteNyanya apepeta ufuta
Naomba mnipe jibu la kitendawili hiki
ReplyDeleteNyanya apepeta ufuta
Jibu lake nini wadau?
DeleteKope
Delete1Babu kafa kaniachia Pete
ReplyDelete2Jinamizi laniiita lakini silioni
Naomba mnisaidie vitendawili hivyo.
1.Jongoo
Delete2.Mwangwi
Kitendawili 1. watoto wa tajiri wanakula na kutembea uchi
ReplyDelete2. Babu kaanguka na makoti yake. Msaada
1. Boga (pumpkin)
DeleteMsaada rafiki jibu la kitendawili "nina kitanda changu cha mkangashale mwana wa halali aende akalale........
ReplyDeleteBahari
DeleteBahari
DeleteBabu kafa kaniachia pete
ReplyDeleteJogoo
DeleteNaomba jibu la kitendawili kwa mfalme Hawa wanatoka na Hawa wanaingia
DeleteL
Ndipo pako kwangu hamna nafasi
ReplyDeleteNilianika mtama Jana usiku lakini nilipoamka sikupata
ReplyDeleteNyota
DeleteAgnes maridadi
ReplyDeleteKipepei
DeleteMbona vitendawili vinavyoulizwa na wadau havina majibu?
ReplyDeleteNaomba jibu la
ReplyDelete1 Mama anamiguu mtoto hana.
2 masikini huyu ataumpe nini hariziki.
1.kuku na yai
Delete2 tumbo
Jamani naombeni mnitegulie kitendawili cha bibi harusi ameinama
ReplyDeleteAlizeti
DeleteKisogo
DeleteKisogo
DeleteNaomba majibu kwa vitendawili vifwatavyo;-
ReplyDelete1. Agness Maridadi
2. Mlima unaotembea
Chiriku alimwambia mwanawe, nikiinama nikiinuka no mauti yetu
ReplyDeleteWakuu salama?
ReplyDeleteNaomba msaada wa vitendawili vyenye majibu yafuatayo
1. Kikombe
2. Kinyonga
3. Ulimi
4. Jani
5. Kisogo
Natanguliza shukrani wadau
1mzungu katoka ulaya na mkono kiunoni
Delete2. Tajiri wa Rangi./ huuawa na uzazi wake
4. Nikienda kwa mjomba sirud
5. Ninatembea naye lakini simuoni
DeleteKivuli
DeleteNini maana ya nikiinama nikiinuka ni mauti yetu
ReplyDeleteChukua ungo wewe na mimi tupepete kisichopepeteka
ReplyDeleteKope
DeleteFufunua fufunika
ReplyDeleteUnyayo
DeleteNaombeni msaada wa kitendawili hiki: Asha mzuri lakini matata
ReplyDeleteNaomba kujua maana ya kitendawili hiki mazishi yake ni furaha kwetu
ReplyDeleteMbegu za mmea
DeleteMsaada jmn nacheza ngoma wapigaji wake wapo ughaibuni
ReplyDeleteHiyo ndugu yangu ngumu kumesaa
DeleteMziki redioni
DeleteMziki redioni
DeleteMziki redioni
DeleteRadio
DeleteNaomba msaada wa cjajibu ya ,gari moshi relini ,mazishi take nifuraha kwa watu,nacheza ngoma lakini wapigaji wake wako ughaibuni.
ReplyDeleteGarimoshi relini ni zipu
DeleteMsaada kutendawili nacheza ngoma kwa nguvu wapigaji wapo ughaibuni
ReplyDeleteNini maana ya kitendawili nikikutana na adui yangu nanyong'onyea
ReplyDeleteUgonjwa
DeleteUgonjwa
DeleteUgonjwa
DeleteUgonjwa
DeleteNaomba msaada wa kitendawili na panda Mti na kichaa wangu
ReplyDeleteKivuli
DeleteNaomba majibu ya vitandawili ivi. 1mjumbe alileta ujumbe nikajua habari aliisoma. 2kiangazi chote ulala yakija masika ukesha. 3hana mkono. 4nyundo zangu zimetengenezwa kwa mifupa
ReplyDelete1: barua
Delete2.vyura
3
4.meno
Ana ndevu,lakini kaka yake hana:sio mbuzi kweli?
ReplyDeleteMbuzi na ng'ombe
DeleteMbuzi na ng'ombe
DeleteNinii maana ya kitendawilii hiki gari moshi relini
ReplyDeleteSiafu
DeleteZipu
DeleteNaomba maana ya kitendawili kushika tama
ReplyDeleteNi nahau maana take sikitika
DeleteNini maana ya kitendawili Napanda mti na kichaa wangu
ReplyDeleteNaomba jibu la kitandawili:napanda mti na kichaa wangu
ReplyDeleteKivuli
DeleteMsaada wa kitendawili
ReplyDelete1)watoto watajiri wa nguo hulala na kutembea uchi
2)zulia la mungu
No 1. Boga No 2. Ardhi
DeleteNaomba msaada wa kitendawili hiki "Teksi mbugani"
ReplyDeleteChawa
DeleteNaombeni jibu LA ..nyundo zangu zimetengenezwa kwa mfupa
ReplyDeleteNaombeni jibu LA ..nyundo zangu zimetengenezwa kwa mfupa
ReplyDeleteMeno
DeleteNaomba msaada wa kuteguliwa kitendawili hiki"nina kitanda changu mkangashale mwana halali aende akalale".
ReplyDeleteBahari
DeleteMaomba jibu la kitendawili "nina kitanda changu cha mkangashale mwana wa halali aende akalale.
ReplyDeleteMaana ya kitendawili anajenga ingawa Hana mikono
ReplyDeleteNdege
DeleteNdege
ReplyDeleteNaomba majibu ya vitendawili hizi
ReplyDeleteZulia la mungu
Ardhi
DeleteMjomba hataki tuonane
ReplyDeleteKisogo
DeleteHhuawa na uzazi wake
ReplyDeleteKinyonga
DeleteMama hachoki kunibeba
ReplyDeleteKitanda
DeleteKisima changu hakikauki na maji
ReplyDeleteKinywa..
DeleteWana wa mfalme hulala na kutembea uchi
ReplyDeleteBoga
DeleteNaomba jibu la kitendawili
ReplyDeleteKila mtu humwabudu apitao
Mlango
DeleteNaomba msaada wa hivi vitendawili
ReplyDelete1. Apitapo huacha alama
2.Inama nikuambie
Chukua ungo wewe na mimi tupepete kisicho pepeteka
ReplyDeleteNaomba msaada
Naomba jibu la kitendawili hiki, Hesabu yake haina faida kwetu
ReplyDeleteNywele
DeleteNaomb jibu Babu kaanguka na makotikoti yake
ReplyDeleteTeksi mbugani jibu lake nin!?
ReplyDeleteMsaada..Nina kitanda changu Cha mkangashele mwana wa halali aende akalale
ReplyDeleteNaomba msaada kuhusu kitendawili hili: hesabu yake haina faida
ReplyDeleteAsante
Nywele
DeleteNywele
DeleteNisaidie kitendawili Nina kitanda changu cha mkangashele mwana wa halali aende akalale
ReplyDeleteMsaada jaman...Nina kiatanda changu cha mkanga shale mwana wa halali aende akalale
ReplyDeletenaomba mnitegulie hiki kitendawil; mazishi yake ni furaha kwetu
ReplyDeleteMbegu z mazao
DeleteKitendawili-nacheza ngoma lakini wapigaji wapo ugaibuni.
ReplyDeleteNaomba msaada juu ya hichi kitendawili:nacheza ngoma lakini wapigaji wapo ugaibuni.
ReplyDeleteRedio
DeleteGari moshi relini maana yake ni nini??????
ReplyDeleteZipu
DeleteMsaada wa hivi vitendawili
ReplyDelete1. Analala ananing'inia
2. Mlima huu hupandwa kwa mkono
Naomba maana ya kitendawili kifa kifanana
ReplyDeleteNaomba maana ya kitemdawili zulia la mungu
ReplyDeleteNaomba maana ya kitendawili zulia la mungu
ReplyDeleteNaomba msaada wa majibu ya vitendawili vifuatavyo
ReplyDelete1.Anachinjwa kwa kisu lakini hafi?
2.Aendapo juu lazima harudi?
3.Akiiba yeye Mimi nashiba?
4.Atembeapo huringa hata kama yupo hatarini?
5.Akienda kwa mjomba harudi ?
6.Amchukuapo hamrudishi?
7.Akiwa mchanga ni mpole akizeeka anakisasi?
Bibi harusi kainama??
ReplyDeleteAlizeti
DeleteNikweli jibu hili
DeleteNaomba msaada wa kitendawil akiwabeba watoto wake Hawezi kuwashusha
ReplyDeleteNamba msaada wa kitendawili hiki kigoda Cha msituni?
ReplyDeleteNitegee kitendawili chenye jibu shule
ReplyDelete1 Ajihami bila silaha
ReplyDelete2 Bibi hachoki kunibeba
Nguo ya Babu ina viraka kila mahali maana yake
ReplyDeleteNaomba jibu la kitendawili hiki
ReplyDeleteKila mtu humwambia apitapo
Mlango
DeleteNaomba jibu la kitendawili hivi
ReplyDelete1.Kiangazi chote kulala usingizi
2.Nilimchinja mwanangu ng'ombe hii, wakala nyama wakapanda mkia ukaota ukawa ng'ombe tena
2. Mgomba
DeleteMuwa
DeleteNyanya apepeta mpunga.naomba jibu.
ReplyDeleteNaombeni vitendawili vitano na maana zake
ReplyDeleteNaomba msaada wa kitendawili ambacho jibu lake ni KITAMBI
ReplyDeleteMsaada wa kitendawili jibu moyo kongine meno na ulimi
ReplyDeleteNaomba jibu ya kitendawili chungu cha mwitu hakiwapiki wapishi wake wakaiva
ReplyDeleteSamahani jamani Nina misemo hii
ReplyDeleteNaomba majibu
1. Chungu cha mtu hakiwapiki wapishi wake wakaiva
2. Kwa mfalme hawa wanaingia hawa wanatoka
3.nacheza Ngoma wapigaji wake wapo ughaibuni
Naombeni anayejua anisaidie
Nisaidieni kutegue kitendawili kipo hiv i gari moshi relini jibu lake ni nini
ReplyDeleteNisaidie jibu la hiki kitendawili nina mtoto nkimpa chakula analia nikimnyima halii
ReplyDeleteNisaidieni maana ya kitendawili nyumba yangu imeungua mwamba wake umebaki
ReplyDeleteNaomba msaada wa kitendawili: Hufa na kufufuka
ReplyDeleteNaomba msaada
ReplyDeleteKitendawili jibu lake ni KITAMBI
Naomba maana ya kitendawili
ReplyDelete1. Cheupe kimetoa manjano
2. Aziza azizi mara nazi mara ndizi
Samahani naomba vitendawili vya majibu haya
ReplyDelete1.kujikwaa
2.fingisi
3.njia
4.kuota moto
Rafiki yangu mharibifu lakini namhitaji naomba jibu la hiki kitendawili
ReplyDeleteMoto
DeleteKichwani mmmh miguun mmmh naomba jibu la kitendawili icho
ReplyDeleteNisaidie jibu.mama anapepeta mpunga
ReplyDelete