Monday, October 29, 2012

NI JUMATATU YA MWISHO YA MWEZI HUU NAMI NIMEONA TUIANZE HIVI!!!NIMEUPENDA WIMBO/UJUMBE HUU KUHUSU KUPENDA UNAWEZA KUSIKILIZA UKIPATA WASAA!!!


JUMATATU NJEMA KWA WOTE!!

3 comments:

Interestedtips said...

Ukimuona Mwanayumba mwambieni..........kweli ujumbe mzuri wa wimbo huu, nawe j3 njema dada

Yasinta Ngonyani said...

dada ester! Ahsante na uwe na j3 njema sana...

Anonymous said...

Hongera kwa kujitolea kuelmisha jamii