NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA KWA WIMBO HUU!!
Leo ni Jumapili ya EKARISTI TAKATIFU lakini nimeshindwa kupata wimbo maalumu ila najua huu pia ni mzuri. Basi NIWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMAPILI NNJEMA SANA NA MWENYEZI MUNGU AWASHUSHIE BARAKA ZENYE UPENDO NDANI YA NYUMBA ZENU PIA KATIKA MIOYO YENU. KAPULYA!!!
5 comments:
Ahsante sana da'Kadala iwenjema kwao na familia pia.
Na wooote.
wenu kachiki ya Mubena!!!!
naamini ulikuwa na jumapili njema, shukrani kwa kututakia j2 njema
Kila lenye heri katika siku ya leo..
J3 njema na kazi njema
Kachiki, Ester, Dada mkuu na m3 ahsanteni kwa kupita hapa na kuacha yenu ya moyoni. mubarikiwe sana
Post a Comment