Sunday, June 10, 2012

NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA KWA WIMBO HUU!!


Leo ni Jumapili ya EKARISTI TAKATIFU lakini nimeshindwa kupata wimbo maalumu ila najua huu pia ni mzuri. Basi NIWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMAPILI NNJEMA SANA NA MWENYEZI MUNGU  AWASHUSHIE BARAKA ZENYE  UPENDO NDANI YA NYUMBA ZENU PIA KATIKA MIOYO YENU. KAPULYA!!!

5 comments:

  1. Ahsante sana da'Kadala iwenjema kwao na familia pia.
    Na wooote.

    wenu kachiki ya Mubena!!!!

    ReplyDelete
  2. naamini ulikuwa na jumapili njema, shukrani kwa kututakia j2 njema

    ReplyDelete
  3. Kila lenye heri katika siku ya leo..

    ReplyDelete
  4. Kachiki, Ester, Dada mkuu na m3 ahsanteni kwa kupita hapa na kuacha yenu ya moyoni. mubarikiwe sana

    ReplyDelete