Sunday, June 17, 2012

JUMAPILI HII TUUNGANE NA KWAYA HII YA HAWA WATOTO AMBAYO MAISHA NA MAFANIKIO IMECHAGUA EBU WASIKILIZE!!!


JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!"!!!!

6 comments:

mumyhery said...

mama erick na wewe pia

mumyhery said...

mama erick na wewe pia

Yasinta Ngonyani said...

Dada M! ahsante sana...natumaini jumapili hii itakuwa njema maana kuna jua kidogo na mvua kidogo..

Interestedtips said...

NAWE PIA J2 NJEMA, SHUKRANI SANA

ray njau said...

Jumapili njema kwa wadau wote wa kibarazani.Hapa kuna changamoto katika muziki.Wadau wanataka kufahamu tofauti ya "MUZIKI WA INJILI na MUZIKI WENYE MANENO YA INJILI".Changamoto hii inatokana na tasnia hii kujikuta katika mikono isiyo salama kitaaluma na mwisho wa siku kile kinachozalishwa hakiwakilishi hali halisi ya tasnia ya muziki wa injili kitaaluma na kimaadili.

Yasinta Ngonyani said...

Ester! Ray mbarikiwe sana!