Jumapili njema kwa wadau wote wa kibarazani.Hapa kuna changamoto katika muziki.Wadau wanataka kufahamu tofauti ya "MUZIKI WA INJILI na MUZIKI WENYE MANENO YA INJILI".Changamoto hii inatokana na tasnia hii kujikuta katika mikono isiyo salama kitaaluma na mwisho wa siku kile kinachozalishwa hakiwakilishi hali halisi ya tasnia ya muziki wa injili kitaaluma na kimaadili.
mama erick na wewe pia
ReplyDeletemama erick na wewe pia
ReplyDeleteDada M! ahsante sana...natumaini jumapili hii itakuwa njema maana kuna jua kidogo na mvua kidogo..
ReplyDeleteNAWE PIA J2 NJEMA, SHUKRANI SANA
ReplyDeleteJumapili njema kwa wadau wote wa kibarazani.Hapa kuna changamoto katika muziki.Wadau wanataka kufahamu tofauti ya "MUZIKI WA INJILI na MUZIKI WENYE MANENO YA INJILI".Changamoto hii inatokana na tasnia hii kujikuta katika mikono isiyo salama kitaaluma na mwisho wa siku kile kinachozalishwa hakiwakilishi hali halisi ya tasnia ya muziki wa injili kitaaluma na kimaadili.
ReplyDeleteEster! Ray mbarikiwe sana!
ReplyDelete