Saturday, June 16, 2012

PICHA YA WIKI ITAKUWA HII...!!!JUMAMOSI NJEMA KAPULYA!!!!

Najiuliza sijui hapa nilikuwa nasema nini? Naonekana kama mwalimu mkali kweli.Ila nimeipenda hii picha mwenzenu.  Haya ngoja niwatakieni Jumamosi njema  wote mtakaopita hapa...:-)

17 comments:

  1. mbona waniyambi sana penapo hongera sana dada - nabambu mbawala

    ReplyDelete
  2. Ahsanti bambu Mbawala! Lakini Mbawala wa kwoki veve?

    ReplyDelete
  3. tinependeza haki ya nani tena!! wikiendi njema dada!

    ReplyDelete
  4. Umependeza sana mwali wewe, yaani kunoga kweli!!!!J'mosi njema nawe Kadala na familia pia!!


    Jamani kaka Mrope upo?

    ReplyDelete
  5. Kaka Mrope ni furaha kukuona Karibu sana tena binafsi nilikuwa najiuliza huyu kaka yupo wapi..Kama umeota kujitokeza nilikuwa mguu njiani kwa akina polisi...Ahsante kaka nwe j´mosi iwe njema na familia.

    Kachiki! umenichekesha eti mwali!! kwa mbwembwe wewe..Haya ahsante ndugu wangu...

    ReplyDelete
  6. Yasinta hapo sio kama mwalimu tu bali pia kama mcheza karate,uko tayari kupambana. na ungekuwa mwalimu watoto wange koma darasani.........!? kwa sababu ya ukapulya wako.umetoka mswano,chicha,poa. kaka s

    ReplyDelete
  7. umependeza na huo ubunifu wa kiunoni na kitu cha bendera, pendeza sana, uwe na jumamosi njema pia

    ReplyDelete
  8. Una kila haki ya kuipenda picha hii... umetokezea si masihara dada mkuu..

    Nakutakia yote yaliyo mema.

    ReplyDelete
  9. hee nangonyani nene mbawala wa kumuharuli njila ya kuchipole wa kahika pa matomondo wi yelekela kushoto kama km 2 kuhuma kubarabara kuu ila kuruhuwiko kuna nyina wangu mvaa balapa pa shule upande wa pili na nyina wangu ihuma kuparangu ila nene kwa hinu nihenga mahengu ku UAE kama nahodha wa magariga mizigu ge gigenda mmanji mara nyingi tu nipita sana mu blog yako hasa yila ya chingoni ngati tipita sehemu ze tipata net haya dada tivi pamonga

    ReplyDelete
  10. Wao! Mkanda huo ... na hiyo scarf ... na pozi ... niishie hapo nisije ishia kuharibu ... Hongera sana.

    ReplyDelete
  11. Teh teh teh , yaelekea ulikuwa jikoni? na jiko linavyoonekana ni kuwa limenuna kweli kweli, nadhani ndio maana ukawa na sura ya ukali ukiwaza hata unga wa uji wa watoto hakuna
    Hujambo lkn mdogo wangu?.

    ReplyDelete
  12. Yasinta;
    Hongera sana kwa kipaji cha ubunifu katika tasnia ya habari na mawasiliano kwa umma.Kipaji hiki kinafanya wadau wako wasichoke kupitia hapa kibarazani na kuacha kitu.Hapa nakumbuka maneno ya mzee Karume:"TUMESOMA HATUKUJUA,TUMEJIFUNZA TUMEFAHAMU".

    ReplyDelete
  13. Kaka sama kama ningekuwa mwalimu wanafunzi wangenipenda sana kwa vile siwezi kupiga viboko/bakora:-)

    Mtani Edna Uhongishe bé!!

    Ester!Jumamosi ilikuwa njema kabisa Umenifanya nitabasamu niliposoma maoni yako Ubunifu wa mkanda;.)

    Dada mkuu namba mbili Ahsante ndugu wangu...

    Bambu Mbawala usengwili kwa maelezu. Dadi wa kunani avyai na veve.

    Dada M Ahsante sana !

    Kaka Simba Deo! Ungeendelea maana palikuwa pananoga hapa...haya Ahsante... Unajua hiyo scalf unaweza kuitumia kwa mengi kamba kitambaa kichwani au shingoni, mkononi, na kama hapo kama mkanda na pia ni bendera.

    Dada Penina Umenichekesha kweli eti hamna unga wa uji:-) ni kweli nilikuwa jikoni.

    Kaka Ray! Sina la kuseama nitaharibu hapa ila tu nasema SHUKRANI SANA.

    ReplyDelete