Friday, September 3, 2010

KIBAO CHA CCM CHA MARLOW NA VUVUZELA!!



Mungu ibariki Tanzania na Mungu mbariki Rais mtarajiwa na bila kusahau utubaribi sisi wananchi tuweza kumchagua rais mchapakazi!!!

5 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

yes! inadhihirisha hata katika usanii nani ni vuvuzela!

Upepo Mwanana said...

Amen

PASSION4FASHION.TZ said...

Kazi nzuri,mpaka uchaguzi upite kila mtu atakuwa milionea,kajitahidi kiasi chake.

Anonymous said...

Huyu mwendawazimu kwani Tanzania tumeshapiga kura akatuambia kwamba Jakaya ni rais. Yeye ndiye vuvuzela asituchanganye akili. Jakaya rais who said so?

Anonymous said...

off white jordan
nike off white
hermes outlet
bapesta shoes
golden goose outlet
off white