Friday, September 3, 2010

KIBAO CHA CCM CHA MARLOW NA VUVUZELA!!



Mungu ibariki Tanzania na Mungu mbariki Rais mtarajiwa na bila kusahau utubaribi sisi wananchi tuweza kumchagua rais mchapakazi!!!

5 comments:

  1. yes! inadhihirisha hata katika usanii nani ni vuvuzela!

    ReplyDelete
  2. Kazi nzuri,mpaka uchaguzi upite kila mtu atakuwa milionea,kajitahidi kiasi chake.

    ReplyDelete
  3. Huyu mwendawazimu kwani Tanzania tumeshapiga kura akatuambia kwamba Jakaya ni rais. Yeye ndiye vuvuzela asituchanganye akili. Jakaya rais who said so?

    ReplyDelete