Napenda kuwatakieni wote Ijumaa njema. Picha hii nimeipenda na nimeona iwe ni picha ya wiki hii. Jipende kwanza mwenyewe na wengine watakupenda!!! Juma ndio linaisha sasa, kwa wengi ni wakati wa kumpumzika, na wengine kazi kama kawaida. Basi nasema tena nawatakieni wote muwe na wakati mzuri. IJUMAA NJEMA!!
Ni mrembo kwelikweli
ReplyDeleteNawe Ijumaa njema Dada
Kumbe lilikuwa ni swali?
ReplyDeleteHahahahaaaaaaaa.
Ni Da Mdogo Aggy wa Kiduchu. Mdodosa kwa adoado lakini ado ado yake yaadodisha vya kutosha
Ati niliambiwa ni "pacha wa hiari" wa "nusu-yangu-njema"
Go Aggy. Umeheshimika kuwa ulivyo. Yaani kuwa MREMBO WA WIKI
Nahisi mpaka niazime miwani, labda ndio naweza kujibu. Ijumaa njema kwako pia
ReplyDeleteayaaaa!!! huyo sheikhat KIDUCHU..lol!
ReplyDeleteIla sijui na juwa najiuliza uduchu uko wapi hasa...lol!
ni mrembo sana, Ijumaa njema na kwako pia.
ReplyDeleteshukran