Naondoka nyumbani kwa Yasinta sasa na nimeacha baraka, je? unanikaribisha kwako? Nipokee kwa upendo na unitume kwa wengine/nyumba nyingine ili niweze kuwabariki wao pia. Uwe na siku yenye baraka. Nipo mlangoni, nabisha hodi. Kama kuna mtu ananisikia na afungue mlango. Nitaingia ndani na kula nao/nanyi katika meza yenu/yao. Sasa anaenda nyumbani kwako mwache yeye akubariki na umwonyeshe nyumbanyingine. MUNGU NI MKUBWA!!!!!!!JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!
5 comments:
Nawasiwasi na uelewekaji wa MAANA YA ujumbe hasa kama kiimani hujakaa Kikristo na si Mkristo!:-(
LAKINI labda walengwa ni wa Kristo.:-(
Mmh...mi naona mbona kama mtu yoyote ataelewa tu...na anajua mwenyewe atakachafikiria kichwani, either amkaribishe bwana ama ala. Jumapili njema na wewe dada Yasinta :-)
@ Simon, :-/
@ Mt simon...duh
goyard
jordan outlet
steph curry shoes
golden goose on sale
jordan outlet
supreme clothing
fear of god essentials
off white clothing
hermes outlet
chrome hearts
Post a Comment