Sunday, November 29, 2009

JE? UNANIKARIBISHA NYUMBANI MWAKO!!!!!!! PIA LEO NI JUMAPILI/DOMINIKA YA KWANZA YA MAJILIO YA MWAKA C



Naondoka nyumbani kwa Yasinta sasa na nimeacha baraka, je? unanikaribisha kwako? Nipokee kwa upendo na unitume kwa wengine/nyumba nyingine ili niweze kuwabariki wao pia. Uwe na siku yenye baraka. Nipo mlangoni, nabisha hodi. Kama kuna mtu ananisikia na afungue mlango. Nitaingia ndani na kula nao/nanyi katika meza yenu/yao. Sasa anaenda nyumbani kwako mwache yeye akubariki na umwonyeshe nyumbanyingine. MUNGU NI MKUBWA!!!!!!!JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!

5 comments:

  1. Nawasiwasi na uelewekaji wa MAANA YA ujumbe hasa kama kiimani hujakaa Kikristo na si Mkristo!:-(

    LAKINI labda walengwa ni wa Kristo.:-(

    ReplyDelete
  2. Mmh...mi naona mbona kama mtu yoyote ataelewa tu...na anajua mwenyewe atakachafikiria kichwani, either amkaribishe bwana ama ala. Jumapili njema na wewe dada Yasinta :-)

    ReplyDelete
  3. @ Mt simon...duh

    ReplyDelete