Monday, April 25, 2022

NAPENDA KUWATAKIENI MWANZO MWEMA WA WIKI NDUGU ZANGU!

NIMEYAPENDA HAYA MAZINGIRA KWA KWELI YAONEKANA NI SEHEMU NZURI NA YA UTULIVU.

3 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Ni mazuri kweli. Hakuna theluji

Yasinta Ngonyani said...

haha theluji tena kaka bwana wanichekesha...

Anonymous said...

Jamani nisaidieni kitendawili hiki kiti nyikani