Tuesday, February 15, 2022

HAPA NDIPO NILIPOANZA MAISHA KAMA KARANI WA SHULE HII YA SEKONDARI YA WILIMA

Wilima sekondari ya zamani

2 comments:

Frey Nyoni said...

Safari ya Sweden pia ilianzia hapa

Yasinta Ngonyani said...

NI KWELI KAKANGU!