Tuesday, November 9, 2021

HAPA NDIPO NILIPOANZA MAISHA YANGU

6 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Ku nyumba siyo? Zikomo kwa mbiri wa kwetu. Lakini salama? Na habari za miaka mingi huko?

Yasinta Ngonyani said...

eeeh Kakake zikomo huku salama sijui huko za miaka tele na kheri ya mwaka mpya 2022

Ezra said...

Uli bwanji iwe

Yasinta Ngonyani said...

Nilibwino ndugu Ezra

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Uwiii. nimeingia nikiwa nimechelewa si unajua tena mabox huku. Huku ni bwino kwa mbiri tu. Zikomo nawe. Tandala bwino Udadawethu.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta habari za siku nyingi. Sisi huku tunalima summer tu na winter tunagandisha na kuendelea kuhomola. Tafadhali ondoa huo ujumbe juu wa utapeli na kutangaza upumbavu. Huyo aliyeweka ujumbe huo na kuficha ujumbe ni shetani binadamu anayetaka kuwaliza watu akidhani ni wapumbavu kama yeye. Tafadhali ondoa uchafu huu. Kwangu ukiwekwa nauporomosha siku hiyo hiyo maana kuna mipumbavu inayotaka kutumia blog za wenyewe kutanganza uchafu na utapeli wake. Ondoa tusitapike aghaaa aghaaa!