MAISHA NA MAFANIKIO
Thursday, January 31, 2013
POLENI KWA MSIBA DADA MIJA NA WANANDUGU WOTE!!
Mwenzetu mwanablogu Mija Shija juzi amefiwa na mjomba wake mpendwa mzee Moses Tito Kachima (pichani juu)katika hospital ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge Dar es salaam.Kwa habari zaidi mtembelee
Mija Shija
. Poleni sana, tuko pamoja.
2 comments:
Mija Shija Sayi
said...
Yasinta asante sana..!!
February 5, 2013 at 10:25 PM
Yasinta Ngonyani
said...
Tupo pamoja Mija wakati wa raha pia shida...
February 6, 2013 at 2:39 PM
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Yasinta asante sana..!!
Tupo pamoja Mija wakati wa raha pia shida...
Post a Comment