Saturday, June 23, 2012

SARAT​ANI YA UTUMBO MPANA NI HATARI

Habari Wanablog wote, Tatizo hili yaonesha ni kubwa sana, toka nimeweka posti nimepata emails na simu nyingi sana, naomba kwa heshima na taadhima ku-share kwenye blog zenu tukufu ili watu wengi zaidi wape ujumbe huu wa kutia matumaini. Asanteni. Bernard.

Blog: Rwebangira Blog
Post: SARATANI YA UTUMBO MPANA NI HATARI
Link: http://bongopicha.blogspot.com/2012/06/saratani-ya-utumbo-mpana-ni-hatari.html

2 comments:

ray njau said...

Asanteni sana kwa fadhili-upendo.Acheni wikiendi ihanikizwe na maisha yenye mafanikio bila mikikimikiki.

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli wengi wana shida kama hii na wanafikiri ni maumivu na na kuacha kufanya utafiti hasa shida ni nini...Pole na yalikupata kaka Bernad