Asante sana da'Kadala, iwenjema kwako na familia pia!!!!Wenu Kachiki.
Kachiki! Ahsante wote hapa katika kaya wazima na natumaini nawe pia na familia wote wazima. Baraka zake Mungu zitawale ndani ya nyumba yenu
Akutakiaye mema wewe na familia yako ni mtu mwema na asante kwake ni jambo jema sana.Ubaya hauna nyumba lakini wema una makazi na makazi yake ni moyoni mwako mwenyewe."KUENDAKO HISANI HAKURUDI NUKSANI BALI SHUKRANI".
JUMAPILI YANGU JANA IMEISHA VIZURI SANA
Ray na Ester asanteni kwa kupita hapa hata mie jumapili yangu imekuwa njema. Namshukuru mungu.
Post a Comment
6 comments:
Asante sana da'Kadala, iwenjema kwako na familia pia!!!!
Wenu Kachiki.
Kachiki! Ahsante wote hapa katika kaya wazima na natumaini nawe pia na familia wote wazima. Baraka zake Mungu zitawale ndani ya nyumba yenu
Akutakiaye mema wewe na familia yako ni mtu mwema na asante kwake ni jambo jema sana.Ubaya hauna nyumba lakini wema una makazi na makazi yake ni moyoni mwako mwenyewe.
"KUENDAKO HISANI HAKURUDI NUKSANI BALI SHUKRANI".
JUMAPILI YANGU JANA IMEISHA VIZURI SANA
JUMAPILI YANGU JANA IMEISHA VIZURI SANA
Ray na Ester asanteni kwa kupita hapa hata mie jumapili yangu imekuwa njema. Namshukuru mungu.
Post a Comment