Friday, September 24, 2010

IJUMAA NJEMA NA WIMBO HUU WA MATATIZO NA DADA NAKAAYA SUMARI

WIMBO HUU NIKIWA NAUSIKILIZA KILA MARA NA UNANIFANYA MAFIKIRISHO SANA-:) SIJUI WENZANGU NANYI ITAKUWA KAMA MIMI!! IJUMAA NJEMA NDUGU ZANGU !!!!!

6 comments:

Simon Kitururu said...

Ijumaa njema kwako pia kipenzi Da Yasinta!

EDNA said...

Ijumaa njema kwako pia,kawimbo kazuri pia

NAJUA WAJUA said...

Kazi nzuri Da Yasinta na mapumziko mema!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Asante saana Da Yasinta!

Peter Mwikuyu said...

kuna zile story huwa tunasikia "kataka kudaka mpira kaona moto" sasa hapa sijui ndio kinachotokea?..."kataka kupiga mpira kaona paka". ulaya nao wamo!!

Anonymous said...

golden goose outlet
off white shoes
fear of god
jordan outlet
jordan travis scott
jordan outlet
nba star shoes
supreme t shirt
kyrie shoes
bape hoodie outlet