MAISHA NA MAFANIKIO

Tuesday, August 25, 2015

HILI NI CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HUU UWE UJUMBE WA LEO!!

›
KATIKA MAISHA NI BUSARA KUJITATULIA MATATIZO YAKO! PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA!
5 comments:
Monday, August 24, 2015

KARIBUNI TUJUMUIKE: UNAKUMBUKA ENZI HIZOOO UTOTONI HASA KWENYE MSOSI???

›
Chakula tayari ni watu wanakosekana kuushambulia msosi huu mtamu...Mimi hapo hizo dagaa ndo natamani kwelikweli-------Kapulya !
Saturday, August 22, 2015

PICHA YA WIKI: AMA KWELI UKITAKA KUPENDEZA LAZIMA MAUMIVU YAWE.....

›
Huu ni ubunifu mpya ambao mimi sijawahi kuusikia wala kuutumia. Je wewe umewahi? Basi nikutakieni mwisho wa juma mwema. Panapo majaliwa tu...
5 comments:
Wednesday, August 19, 2015

HILI NI CHAGUA LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO :- PICHA YA WIKI!!

›
Pamona na kusema YOTE NJAA:- Lakini pia ndio ujasiriamali hapa anaonekana kama vile kweli yote ni njaa lakini kesho mna kesho kutwa atakuw...
2 comments:
Monday, August 17, 2015

KUMBUKUMBU:- LEO NI MIAKA KUMI NA MOJA (11) KAMILI TANGU MAMA YETU ALANA NGONYANI ATUTOKE!!

›
MAMA! ANAWEZA KUCHUKUA  NAFASI ZA WENGINE LAKINI NAFASI YAKE HAIWEZI KUCHUKULIWA NA YEYOTE YULE   KUZALIWA 2/10/1952-KUFA 17/8/2004 ...
5 comments:
Friday, August 14, 2015

EBU SIKU YA LEO TUMSIKILIZE DR. MOHAMED BASSANGA MSHAURI MSHAURI WA AFYA AKIELEZEA KITABU CHAKE CHA MAISHA NA VYAKULA NA MARADHI TABIA.....!!!

›
AU TU TUMSIKILIZE JINSI ANAVYOELEZEA MARADHI TABIA Niwatakieni mwenzo mwema wa juma....AHSANTE Dr. Bassanga.
Wednesday, August 12, 2015

MAISHA NA JAMII:- ZITAMBUE SIFA SITA ZA MSINGI ZA MWANAMKE ALIYE MKE BORA!

›
Mithali 14:1 "Kila mwanamke aliye na Hekima hujenga nyumba yake,bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake." Kuna mithali ise...
Monday, August 10, 2015

TUANZA JUMA HILI NA PICHA HII:- UTALII UNA CHANGAMOTO ZAKE .....

›
Sasa hapa kweli atapona huyu maana Mbuni ni myama/ndge ambaye anakimbia sana kuliko wanyama/ndege wote duniani...MMMhhhhh hapa kazi kwelik...
3 comments:
Saturday, August 8, 2015

UJUMBE WA LEO

›
Ilikuwa ni majira ya saa mbili na nusu asubuhi ambapo mzee mmoja mwenye umri wa miaka zaidi ya 60 aliingia katika hospitali moja ili kusafi...
1 comment:
Thursday, August 6, 2015

UJUMBE WA JIONI YA LEO TOKA KWANGU KUJA KWENU

›
Maisha  ni mtihani Mkubwa na tofauti. Watu wengi huwa wanafeli kwa sababu wanajaribu kuiga maisha ya wengine, bila kujua ya kwamba kila mmoj...
2 comments:
Sunday, August 2, 2015

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA KIBARAZANI JUMAPILI NJEMA NA IWE YENYE AMANI NA UPENDO!!

›
JUMAPILI NJEMA ....Kapulya
4 comments:
Thursday, July 30, 2015

NGUO ZA ASILI NA UREMBO WINGINE KWA BAADHI YA NCHI ZA AFRIKA!

›
 MAASAI/TANZANIA/KENYA  ZULU/AFRIKA YA KUSINI  ETHIOPIA UGANDA Nimependezwa/napendezwa kuona baadhi ya nchi na makabia wana...
2 comments:
Tuesday, July 28, 2015

BUSTANI YETU NA MAENDELEO YAKE:- MAVUNO YA MARA YA PILI

›
Ni Mchicha mboga Maboga na Figiri  nimechuma na nimechemsha na kuweka akiba si mnajua akiba haiozi...Hii ndi kazi ya mikono yangu, mtoto w...
2 comments:
Monday, July 27, 2015

SAFARI YETU YA TANZANIA NA ZANZIBAR TULIPATA BAHATI YA KUNUNUA PICHA HIZI ZA TINGATINGA UTAMADUNI WETU:-)

›
 TWIGA HUYU Na hapa ni aina ya wanyama wote walioko Afrika/Tanzania...WANAZIITA PICHA ZA TINGATINGA.....TAYARI ZIMEKWISHA BANDIKWA UKU...
2 comments:
Sunday, July 26, 2015

HILI NI CHAGUA LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII NI PICHA YA WIKI:- JUMAPILI NJEMA KWA WOTE

›
Sasa hapa sijui tusema ni  kumpendeza Jogoo au? Unafikiri Jogoo anapenda kuvaa hivyo kweli?...Haya Niwatakieni JUMAPILI NJEMA SANA! AMANI ...
Wednesday, July 22, 2015

KANGA NA MISENO /MAANDISHI YAKE.....

›
Hivi kweli MAPENZI ni pesa? Mmmmhhh ningeomba tujadili pamoja hapa inawezekana mimi nimeelewa vibaya....Kapulya wenu:-)
5 comments:
Tuesday, July 21, 2015

MAWAZO MAKUBWA YA KUFIKIRISHA .....

›
Mvulana mmoja maskini alikuwa akiangalia gari la bwana mmoja ambaye alikuwa tajiri, tajiri alimchukua yule mvulani na kumwendesha katika lil...
2 comments:
Saturday, July 18, 2015

BUSTANI YETU NA MAENDELEO YAKE...KAZI YA MIKONO YANGU

›
 Hapa ni MCHICHA upo katika hali nzuri kidogo  Na hapa ni mboga MABOGA sisi wanguni tunasemana LIKOLO LA NANYUNGU/PITIKU:-) Na hapa...
5 comments:
Friday, July 17, 2015

SWALI/WAZO LA LEO!

›
Kama kungekuwepo na ndoto za kununua, je? Ni ndoto gani wewe ungenunua?
2 comments:
Tuesday, July 14, 2015

MSIONA KUADIMIKA NIPO....TUPO PAMOJA

›
Ningependa kuwanongóneza kuwa nipo likizo. Ila nitajitahidi kuwa nanyi pia kinamna ili tusisauliana..ila mmmhhh kuwasahau ndugu si rahisi....
2 comments:
Saturday, July 11, 2015

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MWISHO WA JUMA UWE MWEMA..

›
Hili ni vazi langu la leo au mwenekano wangu wa leo na napenda kuwatakia wote JUMAMOSI NJEMA AU MWISHO WA JUMA MWEMA. KAPULYA.
11 comments:
Tuesday, July 7, 2015

NGOMA YA ASILI YA MGANDA KATIKA MKOA WA RUVUMA!!

›
Ngoma ya asili ya Mganda ilinogesha katika ufunguzi wa stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma Julai 19,2014, stendi hiyo ilifunguliw...
2 comments:
Sunday, July 5, 2015

UNAKUMBUKA HII? :-) MAHINDI YA KUKAANGA

›
Mahindi ya kukaanga:- hapa sasa iwe hii siku kunanyesha mvua basi  ndo utaona utamu wa mahindi ya kukaanga kwa mtindo huu....JUMAPILI NJEM...
8 comments:
Sunday, June 28, 2015

HONGERA ..KIJANA WETU ERIK AMEPATA KIPAIMARA LEO

›
Hongera sana  kwa kumpokea Yesu leo babu Erik...
7 comments:
Friday, June 26, 2015

MLO HUU NIMEUTAMANI SANASIKU YA LEO:- UGALI, SAMAKI WA KUKAANGA NA MLENDA/BAMIA

›
Ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa sita, Yaani hata siamini mwezi huu ulivyoisha haraka. Na katika siku hii ya leo ningependa sana kula m...
5 comments:
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.