Wednesday, July 22, 2015

KANGA NA MISENO /MAANDISHI YAKE.....

Hivi kweli MAPENZI ni pesa? Mmmmhhh ningeomba tujadili pamoja hapa inawezekana mimi nimeelewa vibaya....Kapulya wenu:-)

5 comments:

  1. Hapo ni Kiswahili kwa Waswahili na ujumbe umefika.

    ReplyDelete
  2. Japo wanasema mapenzi bila pesa hayaendi lakini hatupaswi kutanguliza pesa maana zikiisha na mapenzi yameisha. Ni umakini,ukweli na upendo wa dhati tu katika suala zima la mapenzi

    ReplyDelete
  3. Kaka Ray! Naamini kweli ujumbe umefika.
    Kaka Nicky....ama kweli ulichokisema ni kweli kabisa. Ahsante.

    ReplyDelete
  4. Habari!
    Hii inanyesha tunatoka katika uhalisia wa kuumbwa kwetu na kugeuza suala la mapenzi kuwa
    bidhaa. Mm ni hatari lakini salama

    ReplyDelete