TUANZA JUMA HILI NA PICHA HII:- UTALII UNA CHANGAMOTO ZAKE .....
Sasa hapa kweli atapona huyu maana Mbuni ni myama/ndge ambaye anakimbia sana kuliko wanyama/ndege wote duniani...MMMhhhhh hapa kazi kwelikweli...Kapulya
Huyu jamaa anapaswa kutumia zaidi akili kuliko misuli. Anavyokimbia hivi, anapaswa kugeuka ghafla, kama umeme, na kuelekea walikotoka. Chenga za namna hii zitamchosha mbuni.
Kazi kweli. Hapo sasa ni akili mukichwa.
ReplyDeleteProf. Mbele! Unafikiri mukichwa mwake muna akili ten? Angalia huyu mbuni mwenyewe alivyo mrefu kulika hata yeye .
ReplyDeleteHuyu jamaa anapaswa kutumia zaidi akili kuliko misuli. Anavyokimbia hivi, anapaswa kugeuka ghafla, kama umeme, na kuelekea walikotoka. Chenga za namna hii zitamchosha mbuni.
ReplyDelete