Sunday, July 5, 2015

UNAKUMBUKA HII? :-) MAHINDI YA KUKAANGA

Mahindi ya kukaanga:- hapa sasa iwe hii siku kunanyesha mvua basi  ndo utaona utamu wa mahindi ya kukaanga kwa mtindo huu....JUMAPILI NJEMA WANDUGU.

8 comments:

  1. hapana chezea tena unakuta ni jioni uliyaloweka kidogo ukaweka chumvi, afu ndo unasubiri dinner

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray....Haswa na ukipata kikombe cha maji siku imeponywa

    ReplyDelete
  3. leo naenda loweka nikaange....mate yamenijaa mdomoni ghafla

    ReplyDelete
  4. vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg

    ReplyDelete
  5. Shuleni yalituokoa na hata nayapenda sana

    ReplyDelete
  6. Iv wadau mahind ya kukaanga kwa kiswahili yanaitwaje

    ReplyDelete