Tuesday, July 7, 2015

NGOMA YA ASILI YA MGANDA KATIKA MKOA WA RUVUMA!!

Ngoma ya asili ya Mganda ilinogesha katika ufunguzi wa stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma Julai 19,2014, stendi hiyo ilifunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiwa Mkoani Ruvuma katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.

2 comments:

  1. Hii ni ngoma yenye ladha maridhawa bila madhara.

    ReplyDelete
  2. Usisahau ulikotoka utamaduni ni muhimu tudumishe utamaduni.

    ReplyDelete