Saturday, July 11, 2015

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MWISHO WA JUMA UWE MWEMA..

Hili ni vazi langu la leo au mwenekano wangu wa leo na napenda kuwatakia wote JUMAMOSI NJEMA AU MWISHO WA JUMA MWEMA. KAPULYA.

11 comments:

  1. Dada umetokezea si haba. Endelea kupiga pamba na kujipamba Kapulya mwana kwetu.

    ReplyDelete
  2. Dada yangu habari za siku nyingi?umependeza sana na vazi lako.Bustani yako inaendeleaje?

    ReplyDelete
  3. Fantastiki! By Salumu.

    ReplyDelete
  4. Kaka Mhango....ahsante sana.
    Manka ndugu wa mimi ni kweli siku nyingi ni njema....ahsante. Bustani mwaka huu si nzuri sana hali ya hewa inazingua.
    Kaka ahsante.

    ReplyDelete
  5. Umependeza sana Dada kama weekend yenyewe ilivyokuwa nzuri

    ReplyDelete
  6. Thanks , umetokelezea bomba

    ReplyDelete
  7. Kaka Nicky, Dada P! Ahsanteni sana kwa kutochoka kupita hapa na kuacha yenu ya moyoni.

    ReplyDelete
  8. Hapa ni kisima kama siyo kufua na maji ya kunywa je?

    ReplyDelete