Sunday, June 28, 2015

HONGERA ..KIJANA WETU ERIK AMEPATA KIPAIMARA LEO

Hongera sana  kwa kumpokea Yesu leo babu Erik...

7 comments:

  1. HONGERA SANA KAKA ERICK......UZIDI KUKUA KIROHO

    ReplyDelete
  2. Mama Mdogo ahsante sana kwa maombi yako msalimie Alvin.

    ReplyDelete
  3. Hongera mwanangu Eric. Aunt Jenny

    ReplyDelete
  4. Tunamuombea aimarike zaidi ila asiache kuhoji baadhi ya mambo kwenye imani yake hasa ikizingatiwa kuwa amezaliwa kwenye ulimwengu wa fikra jadidi.
    Kila la heri Erik.

    ReplyDelete
  5. Nimetumwa nijibu hapa kwa niaba..Mjomba wala usiwe na shaka..tuombeana tu uzima.

    ReplyDelete