Ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa sita, Yaani hata siamini mwezi huu ulivyoisha haraka. Na katika siku hii ya leo ningependa sana kula mlo huu, Je? wewe ungependa kula nini siku hii ya leo au nawe kama Kapulya. IJUMAA NJEMA PIA MWISHO WA JUMA UWE MWEMA. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA:-)
dada umenitamanisha huu msosiiii...kesho nami nakula
ReplyDeleteTamu sana jamani
ReplyDeleteEster! Mmhhh sasa hii si tabia njema kunitamanisha hivyo...ukipika nikaribishe...
ReplyDeleteKaka Nicky ..ww acha tu
Da Yasinta shukrani kwa mlo huu mtakatifu, kani nimekula kwa macho hadi nikavimbiwa. Nakushukuru sana kwa uchokozi wako hata hivyo.
ReplyDeleteKaka Mhango! Kama umeshiba nashukuru...kuhusu uchokozi sijui kama nakubaliana nawe:-)
ReplyDelete