Thursday, July 30, 2015

NGUO ZA ASILI NA UREMBO WINGINE KWA BAADHI YA NCHI ZA AFRIKA!

 MAASAI/TANZANIA/KENYA
 ZULU/AFRIKA YA KUSINI
 ETHIOPIA
UGANDA
Nimependezwa/napendezwa kuona baadhi ya nchi na makabia wanaendeleza mavazi yetu ya asili....Ngoja nami nitafuta vazi la asili la kingoni:-)

2 comments:

  1. Wanadumisa ile mila ambayo wengine nashindwa kabisa.

    ReplyDelete
  2. Ingekuwa vizuri kama mila zote zingedumishwa kihivyo ila watoto wetu waone hapo baadae.

    ReplyDelete