Wednesday, August 19, 2015

HILI NI CHAGUA LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO :- PICHA YA WIKI!!

Pamona na kusema YOTE NJAA:- Lakini pia ndio ujasiriamali hapa anaonekana kama vile kweli yote ni njaa lakini kesho mna kesho kutwa atakuwa mtu mwingine. Ndivyo inavyotakiwa, kupata MAFANIKIO taratibu na sio kuamka tu na kupata.

2 comments:

  1. Njaa ni mwalimu mahiri na makini na ukefeli somo lake kazi ni kwako.

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray...umenena. Halafu unajua nini...hii picha nimeipenda sana maana mafanikio hayaji tu ni lazima kujituma kitu ambacho watu wengi hawapendi.

    ReplyDelete