Hapa ni MCHICHA upo katika hali nzuri kidogo
Na hapa ni mboga MABOGA sisi wanguni tunasemana LIKOLO LA NANYUNGU/PITIKU:-)Na hapa mnaona ndo mara ya kwanza kuchuma hiyo mboga ya Maboga na mchicha na pembeni mnaona ni pilipili. Kwa hiyo kwa jioni ya leo ni kujichana tu. KARIBUNI TUJUMUIKE NDUGU ZANGU:-) ni mimi Kapulya wenu.
Hongera Dada Yasinta Bustani imependeza,mwaka huu Bustani yangu haijastawi kabisaa,ningekuwa karibu ningekuja kuchuma mboga za maboga lol
ReplyDeleteHongeara saaaaana, ni efurahi kuona unavuna sasa,
ReplyDeleteManka dada yangu...yaani hata mimi mwenzio mwaka huu sina furaha kabisa na bustani yangu yaani sijui nimerudia kupanda mara ngapi...Mwaka huu hali ya hewa haina msimamo...ila ungekuwa karibu ungechuma tu mboga...
ReplyDeleteUsiye na Jina Ahsante sana ni kweli nimevuna kwa maera ya kwanza na kuonja na pia nyingine nimeweka akiba...Kwa ajili yako Karibu:-)
Hongera sana!
ReplyDeleteAhsante sana kaka Ray, karibu kuja kula:-)
ReplyDelete