MAISHA NA MAFANIKIO

Thursday, July 30, 2015

NGUO ZA ASILI NA UREMBO WINGINE KWA BAADHI YA NCHI ZA AFRIKA!

›
 MAASAI/TANZANIA/KENYA  ZULU/AFRIKA YA KUSINI  ETHIOPIA UGANDA Nimependezwa/napendezwa kuona baadhi ya nchi na makabia wana...
2 comments:
Tuesday, July 28, 2015

BUSTANI YETU NA MAENDELEO YAKE:- MAVUNO YA MARA YA PILI

›
Ni Mchicha mboga Maboga na Figiri  nimechuma na nimechemsha na kuweka akiba si mnajua akiba haiozi...Hii ndi kazi ya mikono yangu, mtoto w...
2 comments:
Monday, July 27, 2015

SAFARI YETU YA TANZANIA NA ZANZIBAR TULIPATA BAHATI YA KUNUNUA PICHA HIZI ZA TINGATINGA UTAMADUNI WETU:-)

›
 TWIGA HUYU Na hapa ni aina ya wanyama wote walioko Afrika/Tanzania...WANAZIITA PICHA ZA TINGATINGA.....TAYARI ZIMEKWISHA BANDIKWA UKU...
2 comments:
Sunday, July 26, 2015

HILI NI CHAGUA LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII NI PICHA YA WIKI:- JUMAPILI NJEMA KWA WOTE

›
Sasa hapa sijui tusema ni  kumpendeza Jogoo au? Unafikiri Jogoo anapenda kuvaa hivyo kweli?...Haya Niwatakieni JUMAPILI NJEMA SANA! AMANI ...
Wednesday, July 22, 2015

KANGA NA MISENO /MAANDISHI YAKE.....

›
Hivi kweli MAPENZI ni pesa? Mmmmhhh ningeomba tujadili pamoja hapa inawezekana mimi nimeelewa vibaya....Kapulya wenu:-)
5 comments:
Tuesday, July 21, 2015

MAWAZO MAKUBWA YA KUFIKIRISHA .....

›
Mvulana mmoja maskini alikuwa akiangalia gari la bwana mmoja ambaye alikuwa tajiri, tajiri alimchukua yule mvulani na kumwendesha katika lil...
2 comments:
Saturday, July 18, 2015

BUSTANI YETU NA MAENDELEO YAKE...KAZI YA MIKONO YANGU

›
 Hapa ni MCHICHA upo katika hali nzuri kidogo  Na hapa ni mboga MABOGA sisi wanguni tunasemana LIKOLO LA NANYUNGU/PITIKU:-) Na hapa...
5 comments:
Friday, July 17, 2015

SWALI/WAZO LA LEO!

›
Kama kungekuwepo na ndoto za kununua, je? Ni ndoto gani wewe ungenunua?
2 comments:
Tuesday, July 14, 2015

MSIONA KUADIMIKA NIPO....TUPO PAMOJA

›
Ningependa kuwanongóneza kuwa nipo likizo. Ila nitajitahidi kuwa nanyi pia kinamna ili tusisauliana..ila mmmhhh kuwasahau ndugu si rahisi....
2 comments:
Saturday, July 11, 2015

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MWISHO WA JUMA UWE MWEMA..

›
Hili ni vazi langu la leo au mwenekano wangu wa leo na napenda kuwatakia wote JUMAMOSI NJEMA AU MWISHO WA JUMA MWEMA. KAPULYA.
11 comments:
Tuesday, July 7, 2015

NGOMA YA ASILI YA MGANDA KATIKA MKOA WA RUVUMA!!

›
Ngoma ya asili ya Mganda ilinogesha katika ufunguzi wa stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma Julai 19,2014, stendi hiyo ilifunguliw...
2 comments:
Sunday, July 5, 2015

UNAKUMBUKA HII? :-) MAHINDI YA KUKAANGA

›
Mahindi ya kukaanga:- hapa sasa iwe hii siku kunanyesha mvua basi  ndo utaona utamu wa mahindi ya kukaanga kwa mtindo huu....JUMAPILI NJEM...
8 comments:
Sunday, June 28, 2015

HONGERA ..KIJANA WETU ERIK AMEPATA KIPAIMARA LEO

›
Hongera sana  kwa kumpokea Yesu leo babu Erik...
7 comments:
Friday, June 26, 2015

MLO HUU NIMEUTAMANI SANASIKU YA LEO:- UGALI, SAMAKI WA KUKAANGA NA MLENDA/BAMIA

›
Ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa sita, Yaani hata siamini mwezi huu ulivyoisha haraka. Na katika siku hii ya leo ningependa sana kula m...
5 comments:
Thursday, June 25, 2015

NGOJA LEO TUANGALIE MAENDELEO YA BUSTANI YETU

›
 HAPA NI FIGIRI NA HAPA NI MCHICHA. Mwaka huu bustani yetu maendeleo yanaenda polepole sana kutokana na hali ya hewa si nzuri sana ...
Monday, June 22, 2015

HAYA JAMANI NI WIKI NA JUMATATU NYINGINE....TUTEMBELEE SONGEA KWETU ....

›
Ndo kwanza kunakucha .....na Jua hilo lachomoza...Basi niwatakieni wote jumatatu njema najua wengi mko mzigoni...Binafsi nitapotea kidogok...
Thursday, June 18, 2015

TUMALIZE WIKI KWA MTINDO HUU ,,,,,,,,SIKILIZA WIMBO HUU UPATAPO WASAA

›
Nakutakieni IJUMAA NJEMA NA MWISHO MWEMA WA WIKI!
Wednesday, June 17, 2015

LINAONEKANA NI UA ZURI LAKINI NI HATARI SANA LINAWEZA KUUA MTOTO CHINI YA DAKIKA KUMI NA TANO

›
Kwa upendo jaribu kumpa taarifa ya ua hili  jirani, rafiki na ndugu zako ili wawe makini kwa ua hili. Basi ngoja mimi Kapulya niwatakieni ...
2 comments:
Monday, June 15, 2015

TUANZE JUMATATU NA VAZI HILI ...MWENZENU NIMETOKEO KULIPENDA MNO:-) SARESARE MAUA ASIYEJUA KUCHAGU KABILA YAKE NZEGU-------

›
 Hapa ni dada edna  Na hapa ni dada Nuru ....halafu usisahau kuandalia hizo ndala  yaani nimelipenda sana hili vazi . JUMATATU NJEMA
2 comments:
Saturday, June 13, 2015

TUANZE JUMAMOSI HII KWA KIFUNGUA KINYWA HIKI HAPA CHAI KWA MIHOGO...KARIBUNI!!

›
 Mihogo ya kuchemsha  na hii chai hapa chini basi siku itakuwa njemaaaa. Karibuni tujumuike Kwa wale waliozaliwa miaka ya uhuru wataku...
4 comments:
Tuesday, June 9, 2015

NDUGU ZETU WANGONI HAPO KALE

›
 Familia ya kingoni ilikuwa ikionekana hivi hapo kale Amejiandaa tayari kwa kujikinga kwa vita, Ngao  na mkiku  Wavulana wa kingo...
2 comments:
Monday, June 8, 2015

TUANZE JUMATATU HII KIHIVI:- SINENE NI KITOWEO HASA MAARUFU SANA HUKO BUKOBA.....

›
Nimekuwa najiuliza utamu wa senene ni kama kumbikumbi au? Kama ni hivyo basi sina budi kusema ni watamu.....Pia nimesikia hapa baadaye vya...
4 comments:
Sunday, June 7, 2015

NI JUMAPILI YA KWANZA KWA MWEZI HUU NA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMEONA TUTEMBELEE PAROKIA YA BOMBAMBILI JIMBO LA SONGEA

›
NEEMA, UPENDO NA FURAHA VITAWALE NDANI YA NYUMBA ZETU NA PIA KATIKA MIOYO YETU. AMINA!!
4 comments:
Saturday, June 6, 2015

UJUMBE WA LEO KUTOKA KWA KAPULYA WENU!!

›
Usiumizwe na mtu ambaye haumizwi kwa ajili yako. Tambua maisha ni mafupi kama umeme. Kuwa na furaha na acha kuwa mnyonge. JUMAMOSI NJEMA. ...
Wednesday, June 3, 2015

TUTOKE MANISPAA YA SONGEA NA TUTEMBELEE JIJI LA ROCK CITY (MWANZA)

›
Leo nimeona tutembelee jiji la Rock City Mwanza....inawezekana baadhi ya nyumba babu yangu marehemu alijenga maa alikuwa akiishi hapa na a...
3 comments:
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.