Dada Yasnta, Shukrani kwa kumbukumbu hii. Nimewahi kusali katika kanisa hili, kanisa kuu la jimbo la Katoliki la Songea, miaka iliyopita. Nimewahi kupiga picha ya mwonekano wake wa mbele, ambao unaonekana pia katika hii video. Umenifanya nijisikie niko Songea. Kila la heri.

Dada Yasnta,
ReplyDeleteShukrani kwa kumbukumbu hii. Nimewahi kusali katika kanisa hili, kanisa kuu la jimbo la Katoliki la Songea, miaka iliyopita. Nimewahi kupiga picha ya mwonekano wake wa mbele, ambao unaonekana pia katika hii video. Umenifanya nijisikie niko Songea. Kila la heri.

Nami pia leo nimejisikia nipo Songea kabisa. Ndani ya nafsi yangu ni raha tu. Nimefurahi kama umejisikia hivyo. Kristu ni tumaini letu. Amina.
ReplyDelete