Monday, June 8, 2015

TUANZE JUMATATU HII KIHIVI:- SINENE NI KITOWEO HASA MAARUFU SANA HUKO BUKOBA.....

Nimekuwa najiuliza utamu wa senene ni kama kumbikumbi au? Kama ni hivyo basi sina budi kusema ni watamu.....Pia nimesikia hapa baadaye vyakula kama hivyo vitakuwa vya thamani sana duniani kwoote.JUMATATU IWE NJEMA SANA KWAWOTE!!

5 comments:

  1. Kaka Ray...ni kweli inapendeza sana, hasa kuona kuna watu ambao wanapenda kuendeleza utamaduni.

    ReplyDelete
  2. hii ni senene au mboga gani?

    ReplyDelete
  3. Dada Pi! Ndiyo ni senene na ni mboga:-) kama vile kumbikumbi

    ReplyDelete