Mihogo ya kuchemsha na hii chai hapa chini basi siku itakuwa njemaaaa. Karibuni tujumuike
Kwa wale waliozaliwa miaka ya uhuru watakubaliana na mimi kuwa vyombo hivi vilikuwa vya heshima sebuleni, kwenye kabati, halafu unakunywa chai kwa adabu maana yake kikombe cha moto, chai ya moto basi hapo chai inatelemka polepole...
Umenikumbusha mbaliii,
ReplyDeletenavitamani hivyo vikombe lkn havipo ss na masinia yake kama siyaoni oni sku hzi!!!! nadhani vinapotea hivyo vyombo sasa
Nakutakia ibada njema
Dada P. Usikate tamaa vifaa kama hivi vipo wewe endelea kutafuta tu.
ReplyDeleteMlo wenye ladha maridhawa bila madhara!
ReplyDeleteKaka Ray! Hivi ndivyo vyakula avipendavyo Kapulya:-)
ReplyDelete