Monday, June 15, 2015

TUANZE JUMATATU NA VAZI HILI ...MWENZENU NIMETOKEO KULIPENDA MNO:-) SARESARE MAUA ASIYEJUA KUCHAGU KABILA YAKE NZEGU-------

 Hapa ni dada edna 
Na hapa ni dada Nuru ....halafu usisahau kuandalia hizo ndala  yaani nimelipenda sana hili vazi .
JUMATATU NJEMA

2 comments:

  1. yeah sasa hivi liko kwenye chart, vitenge vinaitwa makenzi,
    lakini pia kuna khanga za mfano huo, safi sana

    ReplyDelete
  2. Dada P, sikujua kama kuna khanga za mfano huu...Ahsante kwa tarifa nitazitafuta.

    ReplyDelete