Wednesday, June 3, 2015

TUTOKE MANISPAA YA SONGEA NA TUTEMBELEE JIJI LA ROCK CITY (MWANZA)

Leo nimeona tutembelee jiji la Rock City Mwanza....inawezekana baadhi ya nyumba babu yangu marehemu alijenga maa alikuwa akiishi hapa na alikuwa muhunzi/mjengaji mzuri sana......Kapulya

3 comments:

  1. Mie nilisoma hapo Rock City nilipokua mdogo. Asante sana da Yasinta!By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Ray! Ni maendeleo haswaaa!

    Kaka Salumu!Naona nimekukumbusha mengi!

    ReplyDelete