Tuesday, June 2, 2015

MAISHA YA NDOA!!

Sijui nahitaji miwani au? maana naona hawa walitakiwa kuwa shule..Duh kuanza maisha ya ndo mapema hivi....

6 comments:

  1. Kama wanaigi za vile lkn ndio kweli, sasa jiulize hapo wamefikia kuoana je utundu waliuanza muda gani mpaka ikafikia hapo...

    ReplyDelete
  2. Ni vizuri kuoa mapema, unajikinga na mambo mengi yenye madhara kama afya/ubadhirifu n.k. By Salumu.

    ReplyDelete
  3. ni kweli wameoana?

    ReplyDelete
  4. au ilikuwa siku ya Kipaimara?

    ReplyDelete
  5. Mbona wana aibu hivyo au wamejistukizia kuwa muda wa ndoa sahihi ulikuwa bado. Lakini yote mema, waacheni waijaze nchi na kuitiisha

    ReplyDelete
  6. Ndugu zanguni nashukuru sana kwa kutonitupa. Bila ninyi nisingefika hapa nilipo Hiyi ilikuwa harusi sasa si mnajua wote watoto...

    ReplyDelete