Monday, June 1, 2015

TUANZE MWEZI HUU WA SITA NA KUTEMBELEA MJI WA SONGEA-----

 
SOKONI SONGEA
 

 Songea yetu hapa
Napenda kuwasalimu wote mtakaopita hapa na pia kuwakaribisha nyumbani Songea/Manispaa ya Songea. Karibu sana.....NAWATAKIENI MWANZA MWEMA WA MWEZI HUU WA SITA....PANAPO MAJALIWA TUTAONANA SASA NAENDA BUSTANINI:-) Kapulya wenu

4 comments:

  1. Safi sana da Yasinta. Tuwekee ya Rock City. By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu...za siku kwanza. Ahsante...nitaweka Rock City usikonde.

    ReplyDelete
  3. I like it this blog information, thanks for sharing

    ReplyDelete
  4. Vimax ! Thank you...and you are so wellcom !

    ReplyDelete