MAISHA NA MAFANIKIO

Monday, August 31, 2009

KUMBE MAISHA NDIO YAPO TOFAUTI HIVI?????

›
Ngoja leo niwasimulieni kitu ambacho nilipokuwa mdogo nilikuwa nakiwaza. Mimi nilikuwa nawaza hivi kupoje? Nilikuwa na ile picha kuwa mais...
10 comments:
Sunday, August 30, 2009

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII YA MWISHO WA MWEZI HUU WA NANE KWA WIMBO HUU!!

›
JUMAPILI NJEMA WOOOOOTEEEEE.
4 comments:
Saturday, August 29, 2009

UGONJWA WA MIGOMBA WAVAMIA AFRIKA

›
Ugonjwa wa ndizi waikumba Afrika Wataalam wa masuala ya chakula wameieleza BBC kwamba upatikanaji wa chakula utakuwa hatarini barani Afrika...
7 comments:
Friday, August 28, 2009

SIRI INAPOFICHUKA!

›
Nilipokuwa nyumbani Tanzania hivi karibuni nilikutana na shoga yangu mmoja ambaye katika mazungumzo yetu alinisimulia kisa hiki cha shoga ya...
8 comments:
Thursday, August 27, 2009

JE, UPWEKE NI UGONJWA?

›
Kabla na baada ya kuja huku niliko nilikuwa na marafiki wengi kifani. Lakini baada ya kuishi mwaka mmoja hap nililetewa barua toka kwa mara...
11 comments:
Tuesday, August 25, 2009

MATESO YA MTOTO FILIMINA

›
TTT Tuwapende mayatima Nimepata email kutoka kwa msomaji wa blog hii (ameomba nihifadhi jina lake) amenitumia taarifa ifuatayo ambayo imesi...
6 comments:
Monday, August 24, 2009

NI MALI YA MTOTO AU MUME AU MKE?

›
Matiti hutoa chakula cha mtoto.
9 comments:

JE? DALILI ZA KUZEEKA NI ZIPI?

›
Nimeamka na nikaanza kujiangalia kwenye kioo....lol , nikaona uweupe wacha nishtuke nikaanza kuwaza hivi ni kweli nimefikia umri wa kupata M...
6 comments:
Sunday, August 23, 2009

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE

›
Kupenda kazi hurahisisha kazi Si kwamba tuishi tu mahali, bali tuishi mahali pazuri. Kwa juhudi zetu tunaweza kupendezesha mahali pa kuishi,...
2 comments:
Saturday, August 22, 2009

KUANZA KWA MWEZI MTUKUFU WA MFUNGO WA RAMADHANI

›
Napenda kuwatakia ramadhani njema waislamu wote duniani!!!
6 comments:
Thursday, August 20, 2009

KWA NINI IWE NI WANAUME TU WANAONUNUA MKUYATI?

›
Kuna wakati wanaume wanaweza kuwa na ugumu wa kujua kwamba wake au wapenzi wao hawaridhiki kimapenzi. Hiyo inatokana na uwelewa mdogo waliok...
13 comments:

MAISHA , MAISHA, MAISHA

›
NAWATAKIENI WOTE ALHAMIS NJEMA!!!!!
2 comments:
Wednesday, August 19, 2009

KUFA NA KUZIKANA

›
Sijui nianze vipi?:- Mila na desturi, kweli kila watu wana zao. Nimeishi hapa Sweden sasa miaka mingi kidogo. Lakini bado sielewi pale pan...
11 comments:
Monday, August 17, 2009

KUMBUKUMBU YA MAMA YETU

›
Mama Alana Magnus Ngonyani astarehe kwa amani. Imepita miaka mitano leo tangu mama yetu mpendwa Alana Ngonyani aitwe na Mwenyezi Mungu kw...
15 comments:
Sunday, August 16, 2009

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE

›
5 comments:
Friday, August 14, 2009

UJUMBE WA LEO

›
Tabasamu la kawaida lina maana nyingi. Hasa siku ambayo unajisikia vibaya, Mimi nadhani wengi wanajisikia hivi, Ndiyo, wote wazee na vijana....
5 comments:
Thursday, August 13, 2009

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA, MJOMBA, SHEMEJI PHILOTEO NGONYANI

›
Huyu ni kaka yangu mdogo na wa mwisho katika kaka zangu watano, jina lake Philoteo. Leo ni siku ile ambayo huyu kijana aliyaanza maisha yak...
8 comments:
Wednesday, August 12, 2009

SIKUPENDI KIVIPI?

›
“Unajua siku hizi hunipendi” mwanamke ambaye ameishi na mume wake kwa miaka 6 alimlalamikia mume wake. "Hivi unaongea kitu gani na wewe...
6 comments:
Tuesday, August 11, 2009

NGOJA LEO TUTEMBELEE KU-NYUMBA KU-SONGEA:- HAPA NI SOKO KUU LA SONGEA MJINI

›
Ungana nami leo hapa Songea!!
7 comments:
Monday, August 10, 2009

SABABU NYINGINE ZA KUZINI ZA AJABU EH!

›
Leo nimeona tuanze wiki hii kwa kujua sababu hizi haya ebu soma hapa . Kuna sababu nyingi zinazotajwa zinazosababisha wanandoa kutoka nje y...
9 comments:
Saturday, August 8, 2009

TUWE TUNAANGALIA TUKAAPO CHOONI INAWEZEKANA KUKAWA NA MGENI KAMA HUYU

›
Habari ndio hiyo ndugu zanguni.Haya nawatakienikila ka kheri wote wiki end njema. Kaazi kwelikweli!!!!
13 comments:
Thursday, August 6, 2009

MAISHA YA UGHAIBUNI NA VIJIMAMBO TOKA NYUMBANI

›
Naomba nikiri kuwa tangu nianze kublog nimetokea kufahamiana na watu wengi sana, si hivyo tu bali pia nimekuwa nikipata email nyingi sana ku...
12 comments:
Wednesday, August 5, 2009

AFRIKA YETU + MUNGU IBARIKI AFRIKA

›
Mungu ibariki Afrika, Wabariki Viongozi wake, Hekima Umoja na Amani, Hizi ni ngao zetu, Afrika na Watu wake, Ibariki Afrika, Ibariki Afrika ...
8 comments:
Monday, August 3, 2009

WATOTO NA TATIZO LA KUSHINDWA KUSOMA

›
Wapo baadhi ya watoto ambao hutokea kutokuwa na uwezo wa kusoma kabisa. Hali hii inaweza kutafsiriwa kama kitendo cha mtoto kutokuwa na uwez...
8 comments:
Sunday, August 2, 2009

JUMAPILI NJEMA JAMANI

›
Napenda kuwatakia wote jumapili njema wote. Wuwe na wakati mzuri wa mwisho wa wiki.
10 comments:
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.