Sunday, August 16, 2009

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE

5 comments:

  1. Jamaniiiiiiii. Haya UBARIKIWE NA WEWE. Jumapili njeeeema kwako na kwa familia yako.
    Blessings

    ReplyDelete
  2. ASANTE SANA, UWE NA JUMAPILI NJEMA PIA FAMILIA YAKO MPENDWA.WIMBO MZURI NIMEUPENDA.

    ReplyDelete
  3. sijawahi ona tofauti kati ya jumapili na isiyojumapili.

    labda tu wale jamaa wa ofisini unionea gere na kunifungia ofisi. hata hivyo laptop hukomboa kazi zangu

    ReplyDelete
  4. Mzee wa Changamoto! Jumapili yangu ilikuwa njema kabisa.

    Nick! Hata mie naupenda sana huu wimbo na ndio maana nimeuweka hapa.

    ReplyDelete
  5. Oh! Kamala kakangu! ni kweli jumapili zote ni sawa tu!

    ReplyDelete