Sunday, August 2, 2009

JUMAPILI NJEMA JAMANI


Napenda kuwatakia wote jumapili njema wote. Wuwe na wakati mzuri wa mwisho wa wiki.

10 comments:

  1. Asante kwa matashi mema ya Jumapili. Nawe uwe na siku njema. Naona upobusy kutuandalia mambo swaaafikwenye blog wiki inayoanza.

    ReplyDelete
  2. Tunakushukuru sana kwa kukumbuka daima kututakia Jumapili njema.

    Swali la kizushi, hivi hizo nywele za Kimasai zilivyokupendeza unataka kusema hata huko kuna wasusi wa Kimasai?

    ReplyDelete
  3. Swali zuri saaana Kaka Fadhy. Ntazitungia shairi hizi. Lol
    Mimi nilidhani utabandika "ile" picha uliyopiga ukituombea kanisani. Lol
    Ila sala ni ppote na twashukuru saaana.
    Blessings

    ReplyDelete
  4. usiisogelee kompyota hivyo kwani hutoa mionzi!!!!! !! !!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Ni furaha sana kuona hamchoki kunitembelea nami nasema karibu na karibu sana.Nimeona mmeuliza swali kuhusu nywele zangu ngoja niwape siri mimi ni mtu mmoja bahili sana kwa hiyo hizi nywele nilisuka nyumbani. Yaani nilipokuwa huku mwanzoni mwa mwaka na bado sijafumua kwani hapa kuna bei sio ya kawaida. Na mimi sina hizo pesa. Kwa hiyo habari ndiyo hiyo:-)

    ReplyDelete
  6. ninapoangalia picha hii naona kama ulikuwa unamumunya pemba...lol!!ama pipi?

    ReplyDelete
  7. mimi sioni kama kusuka ni dili! kwa nini usinyoe? mimi. Ila blog yako imeenda shule kinoma yaani iko juu kama jua.

    ReplyDelete
  8. The smaller the animal the tender the meat? usipime nimewiwa na Alhamisi ya leo kwani iko vizuri kuona mambo matamu hususani nililpokuwa primary School. Du! tunatoka mbali kinoma yani usipime!!!!!

    ReplyDelete